HAPA UJNAJA tu!

Kuhusu ENGINE MANAGEMENT SYSTEM (gari)

Kwa kutaka kufanya gari ziwe na NGUVU (power) zaidi, kwa kutmia MAFUTA na bila kutoa UPEPO MBAYA (emissions control) waligunduwa ujanja wa ENGINE MANAGEMENT SYSTEM…yaaani kutumia sensors, computer (control box) na actuators kuweza kuchungunza upepo, mafuta…nk ambao ni mhimu wa engine kufanya kazi….jinsi tuemjaribu kuelekeza kwenye hii video! 
So tutajaribu kuoneshana jinsi upepo unavotoka nje ya gari, kukutana au kuchunguzwa na sensor au actuator gani mpaka ufike sehemu ya kukukutana mafuta ili combustion ifanyike. Pia tutaona njia ya mafuta kutoka kwenye tank mpaka kukutana upepo kufanya combustion. Alafu tutaona jinsi moto (spark) inafanyika…yaani kama Crankshaft sensors, VVTi…nk! Mwisho tutaona jinsi exhaust gas inakuwa treated kabla kufika kwenye mazingira.

BONYEZA HAPA TUANZE NA “MASS AIR FLOW METER” (jinsi inafanya kazi na kupimwa)