HAPA UJNAJA tu!

SMART KEY SYSTEM (Engine immobilizer)

Ukiweza kuingia kwenye gari, na kukanyaga BRAKE ili uweze ku start engine, BODY ECU inatambua kwa BRAKE PEDAL SENSOR alafu inamwambia CERTIFICATION ECU ikague kama kweli SMART KEY FOB (funguo) ulionayo ndo sahihi kuasha hii gari. Sasa, CERTIFICATION ECU inafanya OSCILATOR, yaani device fulani zinafanya signal ya kufanya SMART KEY FOB itamuke code ilionayo. SMART KEY FOB ikitamka code yake, SMART KEY CODE, inapokelewa na RECEIVER kwenye mlago alafu hii RECEIVER inatuma hii KEY CODE kwenda kwa CERTIFICATION ECU. Tena SMART KEY FOB ikiwa sahihi, CERTIFICATION ECU inamjibu ile BODY ECU kama ni sawa! Then SMART ECU inafanya POWER MODULE kuwezesha moto wa iginition bila ku start hapa ndo ile taa ya IGNITION BUTTON ina waaka ili uweze kubonyeza gari iwake. Sasa ukibonyeza kutaka ku start gari, na kwasababu kuna mubadiliko wa moto, CERTIFICATION ECU inatambua alafu kumwambia BODY ECU amshituwe either, STEERING LOCK assambly au TRANSMISSION ASSEMBLY, kuligana gari ili tena code ingine ikaguliwe…..soo much happens kabla engine kuruhusiwa kuwaka, so watch the video ili ujue niaje!!

 

Bonyeza hapa uende kwenye  SMART KEY SYSTEM (Basic Coding Tips)