HAPA UJNAJA tu!

kuhusu THROTTLE BODY (Throttle Position Sensor & Throttle Actuator Motor)

THROTTLE BODY nyingi lazima ziwe na Throttle Position & Throttle Actuator Motor. ( hata kama zingine ziko na MAP sensor na IAC sensor). Sasa hapa tunakumbushana jinsi ya kupima THROTTLE POSITION SENSOR (TPS) & THROTTLE ACTUATOR MOTOR. Infact, jinsi ya kupima Acclerator Position Sensor ni jinsi ya kupima TPS, wire 3, moja +5V, ingine ground (negative) kutoka kwa ECU (Control Boxi), alafu ya tatu ni siginal kurundi kwenye ECU kulingana Throttle Actuator itakuwa imetembeya. TPS zingine zinakuanga na wire zaidi ya 3 kwasababu, kama APPS, iko na sensor mbili wakati moja ili kwambamoja ikigoma kufanya kazi, ingine inakuwa kama back up…jinsi hii video imejaribu kuonesha!