EXTRA UJANJA tovuti za muhimu

UJANJA WA KUJIFUNZA LUGHA YEYOTE MWENYEWE

Huu ujanja ni wa kutumia software au tovuti za kutafsiri lugha mbali mbali.  So ukiweza kutafsiri neno kwa neno ina maana unaweza kutengeneza sentence kwa kutimia haya maneno. So uki practice mara kwa mara unajikuta umezoea. Infact hii video inajaribu kuonesha jinsi. application ya TRANSLATE.GOOGLE.COM inafanya.  So kuweza kwenye simu yako, playstore, weka application ya “GOOGLE TRANSLATE