COMPUTERS EXTRA UJANJA tovuti za muhimu

UJANJA WA VPN KWENYE OPERA BROWSER

VPN ni Virtual Private Network ambao inakupa utambulisho wa kuoneka kwenye mtandao kama uko nchi ingine tofauti na nchi ulipo! Kwa mfano, ukiwa BURUNDI huu ujanja wa VPN unaweza kufanya uonekane kama uko KENYA! Kwenye hii video tumejaribu kuonehsa jinsi ya kuweka VPN kwenye browser ya Opera!   go MENU then SETTINGS  go PRIVACY & SECURITY then TICK enable VPN …alafu enjoy!!