HAPA UJNAJA tu!

UJANJA w’KEY PROGRAMMING-part 1

Kuna PIN au code maalum inawekwa kwenye funguo ili iweze kuasha gari maalum ambao pia tayari iko na hiyo PIN au code maalum ya kwenye hiyo funguo. So funguo ingine ambao iko code tofauti haiwezi kuasha hii gari. So ndo maana funguo ikipotea, ujanja ni kwamba usome hiyo code maalum ilipo kwenye gari alafu uitumbukize kwenye funguo ingine ili iweze kuasha hiyo gari…jinsi hii video imejaribu kuelekeza!