AUTOMOTIVE (magari) EXTRA UJANJA TOYOTA

Ujanja w’ku UNLOCK RADIO

Pamoja na kubadilisha lugha, radio ya TOYOTA ikijifunga especially baada ya kutoa na kurudisha battery, hii software inakusadia kupata ile UNLOCK CODE ja kuifungua jinsi tumejaribu kuonesha na kuelekeza kwenye hii video!