HAPA UJNAJA tu!

VW/AUDI THROTTLE BODY CODING (using VCDS)

Ukibadilisha au kuguusa THROTTLE SYSTEM y aina gari za VAG (kama Audi/Vw)/ inapaswa kuzisajili kwenye system ili ziweze kutambulika, vinginevyo hazitafanya kazi zazo vizuri!