tovuti za muhimu

website ya CALCULATOR

Nenda www.google.com alafu uweke neno CALCULATOR  au tembelea WWW.CALCULATORIA.COM upate scientific calculator hapo ulipo! Kuna kalamu na kitabu kwamba unaweza kuandika, ku save au ku print kila umehesabu na hiyo calculator, jinsi tumejaribu kuoneha katika hii video! Ili uweze kumbuka, kwenye internat browser andika neno CALCULATOR alafu uongeze IA kama unaandika neno ziwa victoria yetu. so WWW.CALCULATORIA.COM