AUTOMOTIVE (magari)

Mfumo mpya wa WIPERS kuosha kioo

Huu mfumo wa wiper ni kwamba wamepunguza uzito pamoja na kufanya maji kwenda tu sehemu ambao inahitajika tu bila kwenda kila sehemu kwenye kioo na kuzuia mwendesha gari kuona mbele. Jinsi hii video imejaribu kuonesha!